Newsmakers 2014: Naisula Lesuda Posted: 27 Dec 2014 11:07 PM PST |
Patient Goes Missing From Mbagathi District Hospital Posted: 27 Dec 2014 10:57 PM PST | A 26 year old man has allegedly gone missing from mbagathi where he was admitted last Sunday. James mureithi, who was taken to hospital after suffering an epileptic fit, has been missing since... | Views: 0 0 ratings | Time: 02:17 | More in News & Politics |
 |
Six People Killed In Land Row Posted: 27 Dec 2014 10:54 PM PST | An eviction mission in Trans Nzoia County ended in tragedy when six members of a gang that was sent to eject squatters from a farm whose ownership is at the centre of a court dispute were hacked... | Views: 1 0 ratings | Time: 02:00 | More in News & Politics |
 |
Man Kills Wife Over Chicken Meal Posted: 27 Dec 2014 10:44 PM PST | A 36 year old man is being held at Kakamega police station for allegedly killing his wife for failing to prepare him a meal of chicken during Christmas. The man, who hails from Masunguluti... | Views: 1 0 ratings | Time: 01:43 | More in News & Politics |
 |
E Graders Association Posted: 27 Dec 2014 10:40 PM PST | For many candidates, scoring grade E in a national exam would almost certainly kill their association with matters education. Just two days to the release of the Kenya Certificate of Primary... | Views: 0 0 ratings | Time: 02:58 | More in News & Politics |
 |
Mtu Amuua Mkewe Kwa Kutompikia Kuku Posted: 27 Dec 2014 10:37 PM PST | Mwanaumme mmoja wa miaka 36 anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kakamega baada ya kumuua mkewe ikidaiwa ni kwa sababu ya kukosa kumtayarishia kuku wakati wa sherehe za Krisimasi. | Views: 0 0 ratings | Time: 01:57 | More in News & Politics |
 |
Nyayo Za Naisula Lesuda Posted: 27 Dec 2014 10:34 PM PST | Akiwa na miaka 30 tu amefanya mengi kuisaidia jamii na hata kutuzwa tuzo la Rais la Order of The Grand Warrior Kwa kuandika taarifa za kueneza na kuhimiza amani kati ya jamii za wafugaji. Ni... | Views: 0 0 ratings | Time: 06:44 | More in News & Politics |
 |
NTSA: Angalau Sasa Ajali Zimepungua Posted: 27 Dec 2014 10:35 PM PST | Miaka ya hapo awali imekuwa kama desturi msimu wa sherehe za Krisimasi na mwaka mpya kukumbwa na ajali nyingi za barabarani na Wakenya kupoteza wapendwa wao kiholela. Kulingana na ... | Views: 0 0 ratings | Time: 02:45 | More in News & Politics |
 |
Watu Sita Wauawa Saboti Posted: 27 Dec 2014 10:32 PM PST | Watu sita wameuawa katika shamba la Mengo huko Saboti, Kaunti ya Transzoia baada ya jaribio la kuwatimua maskwota kutoka kwa shamba hilo kuzua vita. Nyumba nne ziliteketezwa na kundi la ... | Views: 0 0 ratings | Time: 01:05 | More in News & Politics |
 |
Silas Jakakimba Apata Hifadhi UDM Posted: 27 Dec 2014 10:31 PM PST | Baadhi ya wawaniaji wa kiti cha Useneta ,Kaunti ya Homabay waliodai kuchezewa shere katika uteuzi wa chama cha ODM wamepata hifadhi katika vyama tofauti vya kisiasa, ili wajitose ulingoni katika. | Views: 0 0 ratings | Time: 02:57 | More in News & Politics |
 |
Ayub Simba Awapa Matumaini Wanafunzi Posted: 27 Dec 2014 10:28 PM PST | Mtazamaji je ni kweli kufeli mtihani sio kufeli maisha? Na je utakua na ujasiri wa kusema matokeo yako hadharani? Zikiwa zimebakia siku mbili kwa matokeo ya darasa la nane kutolewa mwanahabari. | Views: 0 0 ratings | Time: 04:50 | More in News & Politics |
 |
Saratani Ya Matiti Kwa Wanaume Posted: 27 Dec 2014 10:23 PM PST | Ingawa idadi ya wanaume wanaoathirika na saratani ya matiti ni ndogo ikilinganishwa na ya wanawake, wataalam wa saratani ya matiti wanasema hata wanaume wanaathirika na ugonjwa huo na la... | Views: 0 0 ratings | Time: 01:30 | More in News & Politics |
 |
Mgonjwa atoweka Hospitalini Posted: 27 Dec 2014 10:21 PM PST | Kijana wa miaka 26 aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Mbagathi ametoweka. James Mureithi alilazwa katika hospitali hiyo Jumapili iliyopita baada ya kuzidiwa na ugonjwa wa kifafa lakini... | Views: 0 0 ratings | Time: 02:47 | More in News & Politics |
 |
KNUT: Walimu Wa Shule Za Umma Kususia Kazi Januari Posted: 27 Dec 2014 10:18 PM PST | Chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT, kimetoa ilani ya siku saba kwa serikali ya kwenda kwenye mgomo iwapo serikali haitaafikia pendekezo lao la nyongeza ya mishahara. Katika kikao ... | Views: 0 0 ratings | Time: 03:36 | More in News & Politics |
 |